Monday, August 11, 2008

Makamu wa Rais Dr Shein ala
Darasa Cuba..


Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein(wa Kwanza kulia)na Waziri wa afya Prof David Mwakyusa na Waziri wa afya kutoka serikali ya mapinduzi zanzibar Sultan Mugheiry(wa pili kushoto)wakila darasa la nguvu kutoka kwa mtaalum wa huduma za afya wa Cuba.Makamu wa Rais yupo nchini Cuba kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto)akimsikiliza kwa makini maelekezo kutoka kwa mmoja wa wataalam wa Huduma za Afya nchini Cuba.wa kwanza kushoto ni waziri wa afya Prof David Mwakyusa.nchi ya cuba ni moja kati ya nchi kubwa duniani zinazoeshimika sana kwa kuwa na wataalam waliobebea katika taaluma ya afya.

No comments: