Zama Za Uwazi na Ukweli...
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa(Kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Rais Finland Bi Tarja Halonen ikulu jijini Dar es Salaam alipotembelea Bongo Feb.2003,Rais Mstaafu ambaye kitaaluma ni mwandishi wa Habari na ambapo enzi za Uongozi wake alijulikana sana kwa sera yake ya zama za"Uwazi na ukweli"
No comments:
Post a Comment