Thursday, June 12, 2008

TANGAZO

Mkutano Wa Watanzania ITALY
*Kufwatia kifo cha Mtanzania Mwenzetu
Omari Jaffari Ngwaya (Longa).

Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania nchini Italy Abdulrahamani Ali alizungumza na watanzania waliofika katika mkutano wa ghafla ulioitishwa leo asubuhi baada ya kifo cha ndugu OMARI JAFFARI NGWAYA (LONGA) aliyefariki kwa ajali ya gari hapo jana.mipango ya mazishi inafanywa kurejeshwa mwili wa marehemu nyumbani Tanzania.Mwenyekiti amesisitiza michango ya haraka ili tuweze kufanikisha safari ya mwisho ya mwenzetu.
-----------
KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA NAPOLI ANAWATANGAZIA KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA MWISHO KESHO 11/06/2008 SAA KUMI JIONI PALEPALE LAGO PATRIA CLUB,KATIKA KUKAMILISHA SAFARI YA NDUGU YETU LONGA aka 50CENT ALIYETUTOKA JANA ASUBUHI KWA AJALI YA GARI. KWA WALE WOTE AMBAO BADO HAWAJAWAKILISHA MICHANGO YAO MNATAKIWA MFIKE KAMILI KAMILI ILI KUSIWE NA USUMBUFU. SIKU YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MTATANGAZIWA HIYO KESHO.KATIBU KWA NIABA YA VIONGOZI ANATANGULIZA SHUKRANI ZAKE KWENU NYOTE.MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA . AMIN!J.Mandai
Katibu(NA)
*********
MAELEZO ZAIDI JUU YA KUWAKILISHA MCHANGO
WAKO PIGA SIMU YA OFISI YA JUMUIYA
+39 081 3340635
FAX + 081 3340624
E-MAIL: tnzncommunity@yahoo.com

1 comment:

Anonymous said...

I agree with you about these. Well someday Ill create a blog to compete you! lolz.