Thursday, June 12, 2008

soma undani wa bonn luv kule bongocelebrity.com


pichani ni Bonny Luv akiwa amezungukwa na vifaa.Hapa ni mwaka jana alipokuwa nchini Ubelgiji(Belgium) wakati wa Tamasha maarufu la Couler Cafe Belgium.

"Bado nimo ndani ya Muziki (Music). Kama unavyofahamu wigo wake ni mpana sana na kwa hivi sasa najishughulisha sana na Production inayohusika na studio recording nikimaanisha uandaaji wa muziki mathalan Bongflava,Zouk,Taarab,Ngoma za Asili,Kwaya (Choir)-Vipindi vya Radio,Matangazo ya Radio,Matangazo ya TV na kadhalika", haya si maneno yangu bali ni ya Dj Bon Luv alipofanya mahojiano ya kina na kaka Jeff kupitia Bongocelebrity.com,kama vipi ingia huko upate kuyafahamu mengi yamuhusuyo pamoja na fani ya Udj pamoja Muziki kwa ujumla

No comments: