Tuesday, June 10, 2008

rais karume akibadilishana mawazo na mzee mengi


RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE AMANI ABEID KARUME AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFANYA BIASHARA LA AFRIKA MASHARIKI (EABC) REGINALD MENGI,AKIONGOZA UJUMBE WA WAFANYA BIASHARA HAO WALIPOKUTANA NA RAIS,IKULU MJINI ZANZIBAR.PICHA KWA HISANI YA IKULU,ZANZIBAR

No comments: