Friday, June 13, 2008

MUNGU IBARIKI STARS!!!!!!!

Wachezaji wa Stars wakijifua jana tayari kwa mechi ya kesho na Cameroon.

Athumani idd (Chuji) mmoja wa mategemeo yetu kesho, wachezaji wamepewa moyo ili watutoe kesho na waziri wa habari na Utamaduni ametuasa pamoja na kuwapenda mastaa wa cameroon lakini tuishangilie timu yetu! Ushindi lazima.

Kocha wa Stars Maxio Maximo akipiga saikolojia kwa vijana wake sasa hivi ana usongo na amesema mechi hii ndio ya kuwatoa vijana kama wakifanikiwa kuwaadhiri Camerooon! Inawezekana sana.

Wachezaji wa Cameroon wakijifua pamoja na majina makubwa lakini nao wanaihofia kichizi taifa Stars, mungu Ibariki Tanzania, mambo yote kesho. Matokeo hapahapa

No comments: