Tuesday, June 10, 2008

Monalisa..


Pichani ni mwingizaji mahiri sana wa michezo ya kuingiza/Tv Yvonee Cherry 'Monalisa' ambaye hivi sasa amecheza kwenye kweny filamu mpya kabisa inayokwenda kwa jina la Binti Nusa ambayo amecheza na mama yake mzazi Sussane Lewis'' akisema zaidi juu ya Filamu yake hiyo Monalisa alisema Ndani ya filamu hiyo nipo kivingine zaidi, si Mona yule ambaye watu wamemzoea natumai kila mtu atakubali. Siyo mama yangu Natasha tu, pia nimecheza na wasanii wengine kama Mzee Uloto ‘Mzee Chilo’, Ndumbagu Mesayo ‘Thea’, Sudi, Big, Kambi na wengine,” alisema Mona. Habari hii na Abdallah Mrisho Salawi

No comments: