Wednesday, June 11, 2008

Miss Tanga 2008.


Pichani ni Miss Tanga mwaka 2008,Nadya Ahamed akiwa na washindi wenzake Shani Anthon (kulia) na mshindi wa tatu Nuru Salimu.

Mwakilishi wa kampuni ya LadyBand wachapishaji wa magazeti ya Changamoto na The football Veronica Mande akimvika taji la Miss The Football miss Jacquelin Julius ambaye amepata mkataba wa mwaka mmoja kuwa afisa masoko wa kanda ya kaskazini akiwa na kazi ya kutangaza bidhaa za Ladyband za Arusha, Tanga na Kilimanjaro.Miss The Football ilikuwa miongoni mwa mataji yaliyokuwa yanasakwa ndani ya Miss Tanga 2008.wadau kaeni Mkao wa kula kwa mapicha zaidi ya Miss Tanga 2008 yanakuja..

1 comment:

Anonymous said...

Thanks to the blog owner. What a blog! nice idea.