Jamani mkutano wa Arusha wajasiriamali mbalimbali walimiminika huko wengine wanatangaza biashara zao na wengine wanazifanya kama dada huyu alidaiwa kuwa alikwapua kitu katika moja ya mabanda ya maonyesho katika AICC. Sasa acha hiyo, wafanyabiashara kibao walimiminika kutoka nchi jirani na Tanzania kila kitu kilipanda bei mpaka huduma za kijamii walioko huko wanadai hata changudoa walipandisha bei wanataka dola tu na sio pesa za madafu kama anko michuzi asemavyo!
4 comments:
Kanami sang imo blog. Daw spaghetti.
The owner of this blog has a strong personality because it reflects to the blog that he/she made.
Gomen kudasai.
that's really cute..wish i had one too.
Post a Comment