Friday, June 13, 2008

KERO.

*Tanzania Parkin System Mnachosha..
--------------------
ASANTE SANA KUTUJULISHA MENGI YA NDANI NA NJE YA NCHI YETU,KAZI NZURI SANA UNAYOIFANYA,TUNASHUKURU,MI NATOA MALALAMIKO YANGU,
KUHUSU, PARKING SYSTEM YA DAR, ARUSHA, MOSHI NA MIJI MINGINE YA TZ,HAWA JAMAA WANAOUSIKA NA HILI SUALA ZIMA LA PARKING DAR NI MAUDHI, MATUPU,HAWAJALI WAKINA MAMA NA WATOTO, WAJAZITO, HATA WATU WAKAWAIDA, WANACHOJUWA WAO NI KUKUFUNGIA HIYO LOCK,UKALIPE FINE NDICHO WANACHOJARI, MASILAHI YAO,KAMA SERIKALI,NA WIZARA USIKA HAWAONO NI KERO,SISI WANANCHI TUNAONA..


NI WATU WENGI TU WAMEFANYIWA UNYAMA HUU,NYINYI WATU WA PARKING WENYE HIYO CAMPANY MSIFANYE MAMBO KIENYEJI,TUNAJUWA HAKI, NA SHERIA NA MIPAKA, PIA HAKUNA MICHORO INAYOONYESHA, PARKING,ZA MAGARI, NO HANDCAPPE,PARKING,HAKUNA CHOCHOTE ILA WAFANYKAZI NA TICKET ZAO TUNALIPIA KITU GANI,MPAKA HII LEO MNASHINDWA KUWEKA MICHORO MAALUM, ???
MNAUDHI SANA, SIYO SISI KAMA MADEREVA UWEZI KUOTA, NDIO MAANA ZIKAWEPO ROAD SIGN ZA SPEED LIMIT ZA HOSTL, SHULE, MAHAKAMA, KAMA MNAHAMUA KUFANYA KAZI FANYENI KAZI,KITAALAMU NA SHERIA INASIKITISHA MJI WA MSH NA ARS KILA MARA WATALII WANAFUNGIWA MAGARI YAO,HII NI PICHA GANI TUNAYOTOA KWA WAGENI,WANAOKUJA NCHINI,HATA SISI WATU KAWAIDA??


SHAME ON YOU TANZANIA PARKING SYSTEM , PILI WATU MNAOWAAJILI TAFADHALI LAZIMA WAJIFUNZE LUGHA ZOTE MBILI,TUACHENE NA KUFANYA KAZI KIENYJI BORA LIENDE TUFANYE KAZI, KAMA MATAIFA MENGINE, TUFUATE SHERIA NATUMAINI WIZARA USIKA MUMESIKIA, SERIKALI VIONGOZI,AMBAO MPO KUTUWAKILISHA,TAFADHALI SUALA HILI LIREKEBISHWE HARAKA NI KERO, SANA, MSIANGALIE MASILAHI YA HESABU YA PESA ,FIKIRIENI PIA WANATOA PESA ZAO KWA HUDUMA HIYO NAOMBA KAKA KADIDI ULIFIKISHE PANAPOUSIKA, ASANTE KAZI NJEMA
*********
MDAU K.

No comments: