Kapteni George Mazula Afariki
Dunia..
Kwa mujibu wa msemaji huyo utaratibu wa mazishi ya rubani huyo utafahamika Kesho baada ya kikao cha familia kilichotazamiwa kufanyika leo saa moja usiku nyumbani kwake namba SGX 4617 K.Marehemu ameacha mjane mmoja na watoto wawili walioko Marekani wanaotarajiwa kuja wakati wowote kuanzia leo ambao ni(Brian na George)Mtoto mwingine wa Mazula alifariki kwa kupigwa risasi yeye na mpenzi wake miaka miwili iliyopita nchini Marekani.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI
PEMA PEPONI AMEN
No comments:
Post a Comment