Friday, August 22, 2008

mkutano wa hali ya siasa bongo
Mwenyekiti wa THE UDSM Mwalimu Julius Nyerere Research Chair in Pan-African Studies Professa Issa Shivji akiongea na mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe wakati wa mkutano wa 16 wa hali ya siasa nchini uliofanyika chuo kikuu cha UDSM
juu na chini ni wadau mbalimbali waliuohudhuria mkutano huo

No comments: