Rais Kikwete atinga  White
 House.

 Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa rasmi na Rais George Bush kwenye  ofisi Maalum ya Rais wa Marekani Oval Office alipomtembela Rais Bush juzi  Washington DC.

 Rais Jakaya Kikwete akioneshwa na Rais George Bush wa Marekani  mandhari ya ikulu ya Marekani,White House,wakati Rais Kikwete alipomtembelea  Rais Bush Ijumaa asubuhi jijini Washington D.C.Rais Kikwete yupo nchini Marekani  kwa mwaliko wa Rais Bush.Picha na Freddy Maro/Ikulu
   
 
No comments:
Post a Comment