hapa wengi huingia na kutoka
   
Stendi kuu ya mabasi Ubungo inavyoonekana kwa mbali,ambako watu wengi  kutoka sehemu mbalimbali nje ya jiji la dar huingia na kutoka,yote hiyo ni  katika suala zima la kutafuta maisha,ambapo wengi huamini mjini ndiyo kwenye  maisha mazuri na ya haraka haraka
  
 
No comments:
Post a Comment