"Hamjui Tunavyoishi!"
  
Kupitia picha za televisheni, watu wengi wa Ulaya na Marekani  wanajua jinsi Waafrika tunavyokufa, lakini hawajui jinsi tunavyoishi. Pichani ni  kitongoji cha Mikumi, Morogro, jamaa ameamua kupunguza gharama kwa kuhama kwa  kutumia baiskeli ya matairi matatu.
 
 
No comments:
Post a Comment