Wednesday, August 27, 2008

Toleo la Raia Mwema Wiki Hiii
*Wezi EPA waanikwa.

SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete, kuongeza muda wa kikosi kazi(task force) kinachochunguza sakata la wizi wa mamilioni ya fedha ndani ya Benki Kuu(BoT)kupitia Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA),siri zaidi kuhusiana na wahusika wakuu zimedizi kuanikwa.

Nyaraka kadhaa zilizoifikia Raia Mwema wiki hii zinaonyesha kwamba mbali ya makachero na asasi za kimataifa kujulishwa kuhusiana na wizi huo, wahusika wakuu wa wizi huo wameelezwa kuwekeza katika nchi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Uingereza,Falme za Kiarabu,Mauritius,Marekani na India na baadhi wamewekeza ndani ya nchi kwa kutumia majina tofauti.kwa mengi zaidi juu ya Habari hii na Makala mbalimbali ikiwemo Rai ya Jenerali Ulimwengo Bofya na Endelea Hapa.....>>>>>>>

No comments: