Serikali inapaswa Kuonyesha
Uwajibikaji na Uwazi katika Utendaji
Wake na Kuacha Usiri -Butiku
Uwajibikaji na Uwazi katika Utendaji
Wake na Kuacha Usiri -Butiku

Butiku,aliyewahi kuwa Katibu wa Rais Ikulu wakati wa Serikali ya Awamu ya Kwanza,alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahojiano maalumu na Tanzania Daima,akizungumzia migomo ya wafanyakazi na maandamano ya mara kwa mara ya makundi mbalimbali ya kijamii,dhidi ya Serikali.
Alisema Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani,alionyesha ujasiri wa kufanya kazi na kuapa kupambana na matatizo sugu kama ya rushwa, ujambazi uliokithiri wakati wa Serikali ya Awamu ya Tatu,tatizo la njaa,lakini ghafla amekuwa kimya.Bofya na Endelea......>>>>>
No comments:
Post a Comment