Tumevuna  Tulichopanda...
  
 Mkimbiaji wa Tanzania Samweli Mwera akikimbiza Upepo mjini Beijing  nchini China wakati wa Olimpiki hivi karibuni.Pamoja na viongozi wa chama cha  Olimpiki TOC na AT kuvutana hapa nyumbani na baadae TOC kung'ang'ania wavae Puma  badala ya Li-Ning tulitoka patupu. Sasa tuwekeze kwenye mbio fupi nadhani  hatuwawezi wakenya na Waethiopia.
No comments:
Post a Comment