Friday, August 22, 2008

uzalendo haujatushinda
mtangazaji maarufu wa eatv ben kinyaiya akifurahi baada ya taifa stars kupiga bao
hata watasha wanaishabikia taifa stars
uzalendo ni wa hali ya juu siku hizi kwa wadau kuipenda taifa stars
kila aina ya mitindo ipo siku hizi kushabikia timu ya taifa

ni fahari ilioje kuvaa bendera ya taifa siku hizi
kinadada wapo bega kwa bega kushabikia timu yao ya taifa
mitaani nako mambo kama kawa
jamaa akikatiza mitaa ya ilala na bendera zake
gari la saidi muchacho ambaye ni shabiki wa bwawa la maini na pia taifa stars
siku ya mechi ya taifa stars ni neema kwa ndugu zetu hawa...

No comments: