Friday, August 29, 2008

Jamani tuanzishe Soka la Kulipwa
-Balozi Biswalo
Balozi wa Tanzania nchini Brazil Dk Joram Biswalo(kushoto)akizungumza na waandishi wa habari wa magazeti ya Daily News na HabariLeo jana alipotembelea chumba cha habari cha magazeti hayo na kuzungumza nao ikiwa ni utaratibu maalumu wa magazeti hayo kuwaalika watu mashuhuri ambao waliwahi kuwa waandishi kuzungumza nao.Kulia ni Mhariri Mtendaji wa TSN,Issac Mruma.Picha na Mroki
-----
Balozi wa Tanzania nchini Brazil,Dk.Joram Biswalo,ameishauri Tanzania kuanzisha soka la kulipwa ili kuvutia wawekezaji na kuuboresha mchezo huo.Biswalo aliiambia HabariLeo katika mazungumzo maalumu kuwa maendeleo ya soka nchini Brazil yanatokana na nchi hiyo kuwa na soka la kulipwa ambalo linavutia kampuni kuwekeza.Bofya na Endelea....>>>>>

No comments: