Friday, August 22, 2008

TUMERUDI...!
---

Baada ya kutokuwepo 'hewani' kwa siku tano,hatimaye leo tumerejea tena kwa ari na nguvu mpya!Kazi ya kwanza tunayoianza asubuhi hii,ni kuweka habari na hadithi kuanzia pale tulipoishia Ijumaa iliyopita, baada ya hapo tuwawakee habari na matukio mapya na motomoto ambazo mmezikosa kwa kipindi chote hicho.
Tatizo lililojitokeza, ambalo hatukupenda kabisa litokee,lilikuwa nje ya uwezo wetu na hakika limetukera na kutukosesha raha sisi pia.Kitu kimoja tunawaahidi;HILI HALITAJIRUDIA SIKU NYINGINE!Tunawaomba radhi kwa usumbufu wote mlioupata na tunawashukuru kwa kutuvumilia na tunawaomba muendelee kusoma habari pekee mzipendazo.
Web Master.
Global Publishers Ltd

No comments: