Mabweni ya Shule ya Sekondari ya
Wasichana Bigwa Yateketea
Kwa Moto..

------
Mabweni mawili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bigwa,inayomilikiwa na Masista wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa kwa mali ya shule na wanafunzi zaidi ya 100.Bofya na Endelea....>>>>>
No comments:
Post a Comment