Kampuni ya Zain yatoa  Msaada wa 
 Vitabu  kwa shule 19  Nchini..
  
 Mkuu wa Wilaya ya Ilemela,Bw.Samwel Kamote akibonyeza kompyuta  wakati wa bahati nasibu ya kampuni ya simu za mkononi ya Zain kuchagua na  kutangaza majina ya shule 19 kutoka mikoa mbalimbali Tanzania zitakazopokea  vitabu vinavyotolewa katika programu ya Zain ya Build Our Nation (BON) jijini  Mwanza, juzi.
No comments:
Post a Comment