Latoya Mwakilishi wa  Tanzania Big 
 Brother Africa III  2008
 Latonya Lwakurwa kutoka Tanzania
Mimi kutoka Ghana
 Lucille kutoka Namibia
 Sheila kutoak Kenya
 Hazel kutoka Malawi
 Tawana kutoka Botswana-----
Picha ya kwanza juu ndiye mwakilishi wa Tanzania kwenye  Shindano la BBA Afrika III 2008.shindano ambalo limeanza leo rasmi nchini afrika  kusini.Huku Tanzania tukiwakilishwa na kimwana Latoya Lyakurwa kutoka  Arusha,picha nyingine ni baadhi ya vimwana wanaoshiriki kwenye shindano hilo  mwaka huu ambapo ni mjumuiko wa wasichana 6 na Wavualan 6. 
No comments:
Post a Comment