Sunday, August 31, 2008

Rais Jakaya Kikwete amaliza ziara
Nchini Marekani..

Rais Jakaya Kikwete akipokea maua toka kwa mtoto Ninai Joseph Sokoine.
Mama Salma Kikwete akipokea maua toka kwa Mtoto Kelvin Masanja.
Rais Jakaya Kikwete,jana amehitimisha ziara yake ya kikazi hapa nchini kwa kufanya maongezi na baadhi ya mabalozi na wawakilishi wa nchi mbalimbali na pia kushiriki chakula cha jioni na mabalozi hao pamoja na wawakilishi wa Chama cha wanajamii ya waTanzania waishio Washington DC na vitongoji vyake.Chakula hicho kiliandaliwa na ubalozi na kusanyiko hilo kufanyika kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania hapa nchini Mheshimiwa Ombeni Sefue yaliyoko huko Maryland.

No comments: