Tuesday, August 26, 2008

Rais wa Comoro alihutubia
Bunge ...
Rais wa Visiwa Vya Comoro,Ahmed Abdallah Mohamed Sambi na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakipokea heshima kutoka kwa gwaride maalum la mapokezi ya Rais huyo wakati alipowasili Bungeni mjini Dodoma leo.
Rais wa Visiwa Vya Comoro Ahmed Abdallah Mohamed Sambi akiagana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya ziara yake ya siku moja mjini Dodoma alikolihutubia Bunge. Wapili kulia ni Spika wa Bunge Samwel Sitta na Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, William lukuvi.
Rais wa Visiwa Vya Comoro,Ahmed Abdallah Mohamed Sambi (katikati),Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Spika wa Bunge,Samwel Sitta wakiwa katika viwaja vya Kituo cha Mikutano cha ST, Gaspar cha Dodoma ambapo Rais huyo aliandaliwa chakula cha mchana na Spika wa Bunge Samweli Sitta baada ya kulihutubia bunge mjini.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: