Nmb yanusurika kuwaka moto

Benki ya NMB ya hapa jijini Dar iliopo mkabala na jengo la Mafuta house  mtaa wa samora leo mchana limenusurika kuwaka moto,lakin kwa bahati nzuri magari  ya zimamoto kutoka kampuni ya nanihii ziliwahi kutia timu sehemu ya tukio  mapema
 
No comments:
Post a Comment