Simba  Kidedea.....

 Straika wa simba Emeh Izechuku akishangilia baada ya kufunga bao  la kwanza dhidi ya timu ya Villa Squad katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya  Vodacom iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam juzi.Simba ilishinda  4-1.Picha na Yusuf Badi
   
No comments:
Post a Comment