Wasanii wambumbuka  
 Complex..
  
 Kumbukumbu ya Complex yawatoa machozi mastaa kibao Baadhi ya  wasanii na wadau wa muziki nchini(pichani juu)wakiwa na mishumaa kama ishara ya  kumbukumbu ya kumkumbuka mwana Hip Hop,Saimaon Sayi‘Complex’katika tukio  lililoitwa‘Remember August’ ambalo lilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ndani  ya Ukumbi wa Afri Centre,Ilala,Dar es Salaam.Habari na Picha/Abdallah Mrisho  Salawi
No comments:
Post a Comment