Tuesday, August 26, 2008

Kijarida cha"Cheche"mitaani
Tena!
Mpendwa mwana Bulogu!
Toleo letu la kijarida Cheche kiko mitaani.Kama kawaida kikiwa kimejaa habari za kina,maoni huru zaidi na bila ya shaka kikiwa huru zaidi na chenye kuthubutu zaidi.
Yote ni katika kupanua wigo wa uhuru wa maoni nchini. Mtu yeyote anayetaka kuchapa na kusambaza anaruhusiwa kufanya hivyo bure kabisa.Anayetaka kuwa msambazaji wa kujitolea awasiliane nami.
Mhariri(at)klhnews.comJipatie nakala yako aidha kikiwa na rangi zote au katika "black and white"http://www.klhnews.com/index.php/downloads/

Mhariri.

No comments: