Saturday, August 30, 2008

" Ngoja Nisevu Namba Yako!"
Daniel Semberya ( kushoto) ni senior reporter ( Business Times) na Mwajabu Swalehe wa redio Passion FM. Hao ni wengine 15 walikuwa ni miongoni mwa washiriki wa warsha ya siku tano juu ya masuala ya mtandao na habari yaliyoandaliwa na Misa- Tanzania na kwa msaada wa taasisi ya Vikes kutoka Finland. Warsha hiyo ilimalizika jana.

No comments: