Barack Obama Funika  
 Bovu....
 



 WadauSenatorBarack  Obama wa Illionois,kutoka chama cha Democrats  nchini Marekani aliteuliwa rasmi juzi kuw amgombea wa kiti cha uraisi nchini  Marekani ambapo usiku wa kuamkia leo alikubali rasmi uteuzi huo mbele ya umati  wa watu zaidi ya elfu 85,000 mpaka 90,000 na kuweka ameweka historia maana yeye  ni mtu mweusi wa kwanza kuteuliwa na chama kikubwa nchini Marekani kuwa mgombea  Rais.Unaweza kujiunga na Kampeni yake kupitia Tovuti yao Rasmi kwa kubofya Hapa,kwa  mengi zaidi juu ya shujaa wetu huyu bofya Hapa  na Hapa
No comments:
Post a Comment