Monday, August 25, 2008

Richard na Mkewe...
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa II Mwaka jana Richard ambaye pia aliibuka mshindi katika shindano hilo akiwa katika picha ya pamoja na mkewe kwenye uzinduzi rasmi wa shindano la Big Brother Africa III kwa mwaka huu kwa wadau wa hapa nyumbani uliodhaminiwa na Kampuni ya MultiChoice Tanzania ambayo imeandaa hafla maalum usiku huu katika hotel ya Courtyard kushuhudia Mtanzania atakaetuwakilisha katika jumba hilo Kimwana Latoya Lyakurwa kutoka Arusha akizama katika jumba hilo,kwa kifupi wadau kazi imeanza rasmi leo katika jumba hilo.Picha hii na Abdallah Mrisho Salawi

No comments: