Friday, August 29, 2008

Rais Karume akutana na
Will Smith..
RAIS KARUME AKIZUNGUMZA NA WILL SMITH IKULU YA ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME(KULIA),AKIPOKEA KITABU KINACHOZUNGUMZIA MAMBO MBALI MBALI YA MAREKANI,KUTOKA KWA MUIGIZAJI MAARUFU WILL SMITH HUKO IKULU MJINI ZANZIBAR JANA
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME(WAPILI KULIA)AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MUIGIZAJI MAARUFU NA MCHEZA SINEMA DUNIANI,KUTOKA NCHINI MAREKANI,WILL SMITH, MAMA SHADYA KARUME KUSHOTO NA MKEWE MUIGIZAJI HUYO JADA PINKEH SMITH KUSHOTO,MARA BAADA YA MAZUNGUMZO YAO IKULU MJINI ZANZIBAR JANA.PICHA ZOTE KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIBAR

1 comment:

Anonymous said...

Huu ni upumbavu kabisa coz cjaona sababu ya Karume kumkaribisha W.Smith ikulu kwa sababu kwanza jamaa alikuja hapa kwa ajili ya kutalii na co kaja kwa shughuli za kikazi. Hii inaonesha jinsi gani viongozi we2 2liowapa dhamana ya kuendesha nchi ye2 wanavyopapatikia wa2 maarufu na wenye fedha ndio maana kwa upumbavu wao wanashndwa kuutokomeza ufisadi