Friday, August 22, 2008

JK bungeni
April 1, 2006: JK akiwa na Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume, Spika wa Bunge Mh. Samwel Sitta, na wabunge siku alipokwenda kuhutubia bunge mara ya kwanza kama Rais. Amehutubia Bunge hilo kwa mara ya pili na tayari kila mtu akitafakari aliyosema. Amehutubia bunge takriban siku tatu baada ya kupokea ripoti ya EPA na pia huku kukiwa na marumbano kibao juu ya Zanzibar kuwa nchi au la. Wadau mnasemaje?

No comments: