Saturday, August 23, 2008

miss utalii 2008 kufanyika agosti 29
warembo 26 wa toka kila pembe ya nchi wakiwa break point ya mjini kujichana na dina la mchana


daudi, bosi wa mnyororo wa migahawa ya break point akihudumia washiriki wa miss utalii 2008
warembo wa miss utalii 2008 wakijichana kwenye mgahawa wa break point ya mjini karibu na billicans club

No comments: