Wednesday, August 27, 2008

Mwakilishi wetu Latoya Ndani ya
Jumba la Big Brother Africa
III..
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa III 2008 Kimwana Latoya ameendelea kujiachia vyema ndani ya jumba la Big Brother Africa ambapo amekua akionekana kuwa karibu na wavulana wote ambao ni washiriki wenzake ndani ya jumla hilo na kuzua mijadala kwa vimwana wenzake baada ya kuonekana kuwa na uhusiano wa ukaribu zaidi na kijana Morris kutoka Uganda kama muonavyo pichani.(ila simnajua sisi katika jumba hilo ndio ni kama brazil kwa soka , sisi ni kuchukua pesa au kushika nafasi ya pili sasa sijui itakuwaje maana kama safari bado mbichi)

No comments: