Sunday, August 24, 2008

Mtimanyongo....



.
Wadau mtakumbuka niliwadunga hivi karibuni picha ya foleni barabara hii ya Lumumba jijini Dar es Salaam nakupekekea Kondakta mmoja wa daladala linalofanya safari zake jijini kujitolea kuongoza magari kwaniaba ya askari wa usalama barabarani ambao mara kwa mara hawaonekani kabisa eneo hili.,Pichani ni barabara ileile ya Lumumba kwenye makutano ya Uhuru na Mnazi mmoja ambapo madereva wa daladala na magari madogo wameamua kuwekeana mtimanyongo nakusababisha foleni kubwa

No comments: