Mzee Mandela na Wake  
 Zake..
  

Pichani ni Mke wa sasa wa Mzee Nelson Mandela,Bi Graca  Machel(kushoto)akimpiga Busu Mume wake mzee Mandela huku kushoto nae mke wa  zamani wa Mzee Mandela,Winnie Mandela(kulia)akitazama kwa umakini hii ilikuwa  kwenye sherehe za kusherekea birthday ya Miaka 90 ya Mzee Mandela hivi karibu  nchini Afrika kusini.katika picha hizi mwanana zinaonyesha Wake hawa wawili  Graca na Winne wanapata sana..
No comments:
Post a Comment