Ridhiwani na Nusrat wameremeta
                                     
 Ridhiwani jakaya kikwete akiwa na mai waifu wake mara baada ya kufunga ndoa leo ukumbi wa ubungo plaza, dar. maharusi wote ni wanasheria na wanafanya kazi dar
 JK akimpongeza mkwewe bi arafa mohamed mara baada ya kufunga ndoa na ridhiwani leo
 JK na mama salma kikwete  wakiwapongeza maharusi
 baba na mwana wakifurahia wakati wa harusi iliyofanyika ukumbi wa ubungo plaza, dar, leo.Shukrani za pekee za picha na Blog ya Michu aka Mbunge wa kule !!!
No comments:
Post a Comment