Tuesday, August 26, 2008

Ugomvi Wa Madereva Wa Daladala Dar!

Kaka,
SAFARI.
Ilibidi barabara ya Nyerere ifungwe kwa muda ili hawa madreva wa daladala wamalize ugomvi wao leo asubuhi pale maneo ya TAZARA.

No comments: