Friday, August 22, 2008

Watoto wa shule ya msingi Uzuri jijini Dar es Salaam wakichota maji kisimani kwa ajili ya kumwagilia bustani ya shule! Jamani watoto wadogo wanachota maji machafu halafu kisima chenyewe?

No comments: