VODACOM YAMWAGA LAZI NA "HABARI NDIYO HII"
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(katikati)akiongea na waandishi wa habari wa magazeti mama ya Daily News na Habarileo katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom,kulia ni Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba na kushoto ni Kaimu Mhariri wa magazeti hayo Gabby Mgaya.
Baadhi ya waandishi wa habari wa Daily News na Habarileo wakiwa katika uzinduzi wa “HABARI NDIYO HII”
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba wapili kutoka kushoto akiongea na waandishi wa habari wa Business Times katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom,kushoto ni Mhariri wa Darleo Imma Mbugunili, Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru,Meneja husiano wa Vodacom Mwamvita Makamba na kushoto ni Kiumu wa mawasiliano wa Vodacom Nector Pendael Foya.
Baadhi ya wahariri wa habari wa Business Times wakishiriki katika uzinduzi wa “habari ndiyo hii”ofisini kwao.
Kaimu Mhariri wa ghazeti la Tanzania Daima Kulwa Karedia wapili kutoka kushoto akishiriki katika uzinduzi wa”habari ndiyo hii”ambapo wateja wote wa Vodacom Tanzania wataongea kwa shilingi 1 kwa sekunde kila siku ,kushoto Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru na kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakiongea na wahariri wa Africa Media Group Limited katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakiongea na wahariri wa New Habari 2006 Limite walipotembelea ofisi zao na kuwahabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(katikati)akiongea na waandishi wa habari wa maghazeti New Habari 2006 Limite walipotembelea ofisi zao na kuwahabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.kulia ni Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makama na kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa New habari Bw.Shaileen.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto) Mhariri wa TBC1 Jane Shirima wakizindua rasmi “habari ndiyo hii”kwa wateja wa mtandao wa Vodacom ambapo mtandao huo umeshusha gharama za maongezi kwa wateja wake kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(katikati)akiongea na waandishi wa habari wa maghazeti ya IPP Media walipotembelea ofisi zao na kuwahabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.kulia ni Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makama na kushoto ni Mhariri Mkuu wa ghazeti la The Guardian Wallace Mahugo.
Baadhi ya waandishi wa habari wa IPP Media wakiwa katika uzinduzi wa “HABARI NDIYO HII”
Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communication Limited Sam Sollei wakifurahia jambo wakati Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru,Meneja Mawasiliano wa Vodacom walipotembelea ofisi zao na kuhabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communication Limited Sam Sollei(katikati)wakizindua rasmi “habari ndiyo hii”kwa wateja wa mtandao wa Vodacom ambapo mtandao huo umeshusha gharama za maongezi kwa wateja wake kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa vodacom Tanzania Mwamvita Makamba. Baadhi ya wahariri wa habari wa Mwananchi Communication wakiwa katika uzinduzi wa “HABARI NDIYO HII”
No comments:
Post a Comment