Wednesday, March 24, 2010

libeneke la zamaradi mketema
mtangazji anayekuja juu kwa kasi zamaradi mketema wa clouds FM na Clouds TV tayari naye ameshajichovya katika libeneke, mada zake kuu zikiwa katika tasnia ya filamu. mtembelee ujionee mwenyewe:

No comments: