Wednesday, March 3, 2010


Wanachama wa chama cha siasa cha CCJ wakiwa wamembeba juu juu mwenyekiti wa chama hicho mara baada ya kukabidhiwa cheti cha usajiri wa muda wa chama hicho njem ya ofisi za msajiri wa vyama vya siasa
Msajiri wa vyama vya siasa nchini Mh. John Tebdwa kulia akimkabidhi hati ya usajiri wa muda mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chama Cha Jamii (CCJ) Bw.Richard Kiyabo katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi za msajiri wa vyama vya siasa jijini Dar es salaam, kushoto ni Katibu mkuu wa chama hicho Bw.Renatus Muabhi, mara baada ya shughuli hiyo kufanyika jana .
msajiri wa vyama vya siasa Mh. John Tendwa katikati kushoto ni mwenyekiti wa CCJ Bw. Richard Kiyabo na kulia ni katibu wa chama hicho Bw. Renatus Muabhi na mwisho kulia Bw. Ludovick Joseph Lingia ofisa kutoka ofisi ya Msajiri wa vyama vya siasa.wakiwa nje ya ofisi hizo kwa picha ya pamoja.(picha na maelezo ni kwa hisani ya Full Shangwe blog.)

No comments: