Saturday, March 13, 2010

imani ya manyoya bado inawasumbua wengi

Mama mmoja eneo la Mataa ya Salenda akiomba msaada wa chochote kitu kwa Msamaria Mwema,lakini huyo Msamaria Mwema baada ya kumuona yule mama akaamua kupandisha vioo vya gari yake na kufunga kabisa kama uonavyo pichani,Daa nilisikitika sana,nikabaini ni ile hadidhi ya Manyoya ndiyo inayomtisha Msamaria huyu. Ila kama siku yako imefika huwezi kwepa maana kama imepangwa imepangwa jamani tuwe waungwana tuwasaidiea nao hawakupenda kuwa hivyo au sie tulifanya nini tukastahili kuwa hivi tulivyo !!

No comments: