Monday, March 15, 2010

AJALI KAZINI JAMANI!!

Gari la polisi lenye namba PT 1377 likiwa limepinduka na kutumbukia kwenye mtaro katika barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo haikufahamika mara moja kama lilikuwa kwenye doria ya kawaida au vipi hata hivyo wasamalia wema walimnasua Dereva wa gari hilo ambaye alionekana kupoteza fahamu kwa mshituko.
Align Centerwatu wakiwa wamelizingira gari hilo mara baada ya kupata ajali katika barabara ya Kirwa.

No comments: