Monday, March 1, 2010

kilimanjaro marathon 2010 yafana, ushindi waenda kenya
Wakimbiaji wa mbio za kilomita 42 za Kilimanjaro Marathon 2010 wakiwaanza mbio hizo zilizofanyika katika Uwanja wa Chuo Kiuu cha Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro jana
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi mshindi wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni za kiliomita 42 upande wa wanaume, Steven Chebogout.
Wakimbiaji wa mbio za kujifurahisha za Vodacom za Kilomita tano wakikimbia wakati wa mbio za Kilimanjaro Marathon 2010zilizofanyika katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi mkoani Kilimanjar jana.
Mzee wa mika 67 kutoka moani Arusha, Ake Lingstone akimaliza mbio za kilomita 21 wakati wa Kukimbia Mbio za Kilimanjaro Marathoni zilizofanyika katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro jana
Mmoja wa wakiambiaji wazee raia wanje kutoka San Diego,
Marekani, Cath Loper akimaliza mbioza Kilomita 21
Mshindi wa Mbio za Kilomita 21 za Kilimanjaro Marathoni 2010,Fabian Joseph Mtanzania akimaliaza mbio zilizofanyika katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi mkoaniKilimanjaro jana.

Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi


No comments: