Thursday, March 18, 2010

CRDB yaipiga jeki michezo ya UMISETA
Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Mh. Mwantumu Mahiza akipokea vifaa vya michezo kwa ajili ya michuano ya UMISETA toka kwa benki ya CRDB Jana. Michezo hiyo ya Umoja wa Michezo ya Sekondari nchini inazinduka mwaka huu baada ya serikali ya awamu ya nne kuamua kuifufua ili kukuza michezo nchini.

No comments: