Saturday, March 6, 2010


ADHABU YA WAZINZI SOMALIA




ADHABU YA WAZINZI SOMALIA

ADHABU YA WAZINZI SOMALIA
...adhabu ya mtu anayekamatwa kwa kosa la kizini nchini Somalia ni kupigwa mawe hadi kufa. Awali linachibwa shimo la kumuingiza mtuhumiwa kisha anafukiwa hadi usawa wa kifua na kuanza kupondwa mawe hadi anakata roho ndipo anatolewa..!

2 comments:

Anonymous said...

Huu ni unyama wa hali ya juu ambao Mungu aliwaruhusu watu wa mwanzo wautumie...inasikitisha sana maana kosa la uzinzi ni sawa tu kosa la mtu kula nguruwe au kuiba.Hao wanaopiga mawe weyewe wana makosa kibao ya aina tofauti....Hapo ndio ujue kuwa ukatili ulitokea huko huko ambako tunakunyekea

Anonymous said...

YESU alisema "yeyote anayeona yeye hajawahi kutenda zambi zozote zile iwe kwa mawazo, matendo au hata kwa kutotimiza wajibu aje anyanyue mkono na amrushie jiwe huyu mama mzinzi... labda kwa kuwa wenzetu wanatumia njia tofauti na sisi katika kumfuata MUNGU inawezekana wapo sahihi 100%